Home/
Unlabelled
/RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI PAMOJA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU JOHN SAMUEL MALECELA JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 16,2016
RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI PAMOJA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU JOHN SAMUEL MALECELA JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 16,2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana kwa furaha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Sala sala nje
kidogo ya jiji la Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai
nyumbani kwake Sala sala jijini Dar es Salaam alipokwenda kumjulia hali. Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza na Mke wa Spika Dkt. Fatma
Mganga Ndugai wakati alipokwenda na Rais Dkt. John Pombe Magufuli
kuwajulia hali nyumbani kwao Sala sala jijini Dar es Salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia
hali Waziri Mkuu mstaafu John Samuel malecela ambaye anapata matibabu
jijini Dar es salaam, nyuma ni mke wa Rais Mama Janeth Magufuli Agosti
16,2016 Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa pamoja na Rais Dkt. John Pombe
Magufuli akiongoza Sala ya kumuombea Waziri Mkuu mstaafu John Samwel
Malecela pamoja na mkewe Anne Kilango Malecela.
Leave a Comment