Home/
Unlabelled
/RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA MADHEHEBU YA BOHORA DUNIANI MTUKUFU DKT. SYEDNA MUFADDAL SAIFUDDIN NA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA SAHARAWI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA MADHEHEBU YA BOHORA DUNIANI MTUKUFU DKT. SYEDNA MUFADDAL SAIFUDDIN NA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA SAHARAWI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam alipomtembelea
Agosti 17,2016
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya
Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin aliyeambatana na
ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuchangia madawati kwa kutoa hundi
yenye thamni ya kiasi cha dola za Kimarekani (USD 53,000) kwa ajili ya
utengeezwaji wa madawati. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna
Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuchangia madawati kwa kutoa hundi
yenye thamni ya kiasi cha dola za Kimarekani (USD 53,000) kwa ajili ya
utengeezwaji wa madawati. Wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania
Sheikh Aboubakar Zubeir watatu kutoka kushoto na Sheikh mkuu wa mkoa wa
Dar es Salaam Alhadi Mussa Salumu wakwanza kushoto. Kiongozi
Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal
Saifuddin akimuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani
Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti
Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani
Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti
Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na viongozi wengine wa
Madhehebu ya Bohora. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta
jambo na kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt.
Syedna Mufaddal Saifuddin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
ujumbe kutoka kwa Bachir Moustaph Sayed mjumbe wa Rais wa Saharawi Ikulu
jijini Dar es salaam Agosti 17,2016 Picha
ya pamoja ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na Bachir Moustaph Sayed mjumbe wa Rais wa Saharawi Ikulu
jijini Dar es salaam Agosti 17,2016 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Bachir Moustaph Sayed mjumbe wa Rais wa Saharawi Ikulu jijini Dar es
salaam Agosti 17,2016
Leave a Comment